HakiElimu - ⏺️Walimu wapate mishahara inayokidhi hali ya...

HakiElimu 18.6K Views
  • 879
  • 33
  • 93

Generating Download Links...

⏺️Walimu wapate mishahara inayokidhi hali ya wakati huo na thamani ya pesa.
⏺️Pia kuna haja ya kuweka motisha ya posho maalumu kwa walimu kwa kuzingatia...

Posted 3 months ago in Education & Learning

Oka Martin 2 months ago

Mnafanya Kazi Kubwa🔥

Aswila Shafii 2 months ago

Hakika walimu niwakulipwa vizuri

Embassy Sport 2 months ago

hakuna kaz nyepes dunian hata kupika kila siku ni ngum jiulizen mishahara midogo mnayowalipa madada wa kaz hata waalim wakiongezwa mishahara na kodi nazo zitaongezeka so sawa hautaweza kupatikama ila kwa lugha nyepes utawaongelea waalim labda kwa maslah yako ila kiuhalisia sio waalim2 je madada wa kaz wachunga ngombe madereva walinzi wa maduka je pesa zako zinagawanyi jibu ni hapana so kikubwa angalien namna gani ya kuishauli serial namna gani bini mbona za kiwa kuwanufaisha wa2wake kwa ujumla usilenge sekta Fran maana nch hii wa2wote wanalipa kod

Hashim Othman 2 months ago

Walimu ndio wanaotengeneza wabunge, mawaziri na Rais pia lakini watu wakishapata vyeo wanawasahau walimu

Lightness Lameck 2 months ago

Maisha ni pesa na maslah sio blaablaa

Julius Munende 2 months ago

Duh ndo mana hata baadhi ya wanafunzi wanafeli baadhi ya masomo kwasababu yule walompenda kaondoka

Seven Boy Rashid 2 months ago

Shua wanapitia wakati mgumu sana

Kidilu Father 2 months ago

Mwalim ni kioo cha jamii

Erica Ifunya 2 months ago

Ni kweli

Kwembe Mkombo Mizambwa 2 months ago

Hakika uwalimu kazi ngumu sana