Kutana na Yazid Yasin, mjasiriamali anayejitafutia riziki kwa kutengeneza mkaa kwa kutumia plastiki chakavu na takataka mjini Dar es Salaam.

DW Kiswahili 23.4K Views
  • 536
  • 55
  • 42

Generating Download Links...

“Nafasi za kufanikiwa hazijitokezi hivi hivi, inabidi uzitengeneze”. Huu ni msemo unaodhihirisha juhudi za Yazid Yasin, ambaye anajitafutia riziki...

Posted 5 months ago in Social Issues

Shukuru Nsekerabandya 5 months ago

Tokea kaibanja bukoba TZ pamoja sana Dw

Azina Mossi 5 months ago

🙏atuelekez gisi yakutengenez

Abdul Sama 5 months ago

Naitaji kujifunza iyo fani

Azina Mossi 5 months ago

Nipo🤣🤣😁

Hidaya Sudi 5 months ago

Jamani wapendwa naomba mniambie unatengenezwaj

Datius Mwemez 5 months ago

Mwes Vedasto Wa Kyaka Bwengabo Tz Pamoja Dw

Issa Fulgence 5 months ago

Atupe namba za sim

Saidi Lukube Tande 5 months ago

Namba zake za sim, please!

Washida Mihangwa 5 months ago

kazabuti maisha ni kupambana

Emmanuel Masoko 5 months ago

The message is delivered, tutaifanyia kazi