SHABIKI ON SATURDAY

East Africa TV 7.6K Views
  • 349
  • 10
  • 36

Generating Download Links...

#LIVE : Chikwende, Fiston, Mozinzi watikisa usajili | Yanga waitibulia Simba mipango

Posted 9 months ago in Sports

Cleven John Clevoo 9 months ago

onyango,wawa na ame ni the best kabisa no doubt! kwan simba mpk sasa karuhusu goli ngapi? ht kimataifa kacheza home and away karuhusu 2 kafunga 5 ...tusubiri makundi

Handerson Liver 9 months ago

Hivi zile show wanazopiga Onyango, Ame na Wawa ni show ndogo ? Ikumbukwe falsafa ya team ikilegea ndiyo udhaifu katika ulinzi hujitokeza lakini Onyango, Wawa , Ame wako vizuri sana. Sajili ya Chikwende ni moja ya sajili ya akili nyingi sana kwani Chikwende anakava eneo kubwa la uchezaji uwanjani na kwa kufanya hivo kunapunguza makosa ya kiuchezaji. Unamfananishaje completed player na striker mviziaji ?!

Justin Makaya 9 months ago

Simba ndiy timu yeny kikos cheny akili Tz

Dafi Nyandekwa 9 months ago

Tokea stend kuu misuna singida tz mm niwapongeze simba kwa usajili chikwende sasa ccm tishaa sana

France Titan 9 months ago

The Real Young Africans Sport Club

Julias Van Mpunzah 9 months ago

Kick bad san tutaendelea kusajili wachezaji walio ngala kwä mech moj

Rich Molely 9 months ago

Yanga ilikua timu bora coz imechaza mpir. Mzur lakn Simba ilicheza mpr wenye mafaulu mengi na ukiona timu beki ndo inakua mchezaji bora ujue iyo timu ilizidiwa kimbinu kabs

Jumaa Madiwa 9 months ago

juma madiw from kcty kiukwl n usajil mzr xana tena xn wamesajl kiungo mkabaj na ameft kwny mfumo na chikwende n mchezaj wa haz ya klabu bngwa kam tmu yake imetnga hatua ya makund mara 2 mfululzo kwhio anauzoefu na hay mashndno c uxajl wakubeza kbs

Emmanuel Zakaria 9 months ago

Wa Ihumwa Dodoma nawapata,na tupo pamoja mpaka tamati

Farii Farjala 9 months ago

Mtu kacheza mechi moja tu kaperform wamemwita duuh simba bana