Saleh Jembe

Saleh Jembe 3.2K Views
  • 123
  • 11
  • 18

Generating Download Links...

Saleh Jembe

Posted 2 months ago

Mapiki Mapiki 2 months ago

PRE season ya YANGA niyamanufaa kwa YANGA tambua hivyoo hivi huyu mtu kila jambo la YANGA wewe unakosoa mbona uikosoi TFF inavyo endesha LIGI na kusababisha TIMU hazipati muda wakutosha kuwa na hiyo PRE SEASON unayoitaka WEWE mchambuzi gani wewe usie na fikra pana.

Nasr Nassor Amani 2 months ago

Kwan pre season ni kukaa sehemu moja wik2 au 3? tunaona ata teams kubwa wanakaa. china siku 5 Mara wapo usa sku 7 ni hivyo

Ramadhani Taratibu 2 months ago

Huyu jamaa sijawahi ona amepost video anaiongelea Simba negatively, ina maana Simba hainaga makosa isipokuwa ni Yanga tu? Dah

Gosper Mbinga 2 months ago

Rud xhule bro uchambue

Nassor Mabrouk 2 months ago

Mshamba wewe timu kubwa za ulaya na zinakaa kambi wiki sehemu then wanarud ijekuwa yanga kiukweli ww ni mwandishi mshamba

Godfrey Masamalo 2 months ago

Hata siku moja Yanga hawajawahi mupya s wanafeli siku zote

Janta Kabila 2 months ago

Huyu mjinga, afuatlie Man U wamekaa pre season muda gani USA? Kama sio five day's? Halafu wanaenda kwingineko

Hamid Begumisa 2 months ago

Great 馃憤

Shabani Msambuki 2 months ago

Salehe jembe mjinga moja muda wao umeisha simba sio wakati wao huuu

Maka Mwailolo 2 months ago

Rubbish