Mh. Freeman Mbowe na Chadema Digital. - Chadema in Blood

Chadema in Blood • 8 months ago   639     32  •  7.4K Views

Mh. Freeman Mbowe na Chadema Digital.

Comments
Madenge Jpm
Madenge Jpm8 months ago

KUFELI KUNAANZIA HAPO YAAN WALE REAL VOTERS HAWANA HATA HIZI DIGITAL WANAENDA MSIKILIZA MTU ATWAPA ENEO LAO WANAMPA KURA .HATA HIZO SIMU ZA ANDROID HAWANA .

MTUPE MATOKEAO YA MUONEKANO WA ZIWA HILO BAADAE KWA MAANA YA MAPATO😀😀😀

UKIONA OPERATION MUHIMU KAMA HIYO KAMA MNAVYOSEMA NINYI MWENYEKITI WA CHAMA ANA LIKE 333 NA COMMENTS SIJUI 20 HIKI CHAMA KINAENDA KUFA

Dominique Bubeshi
Dominique Bubeshi7 months ago

Ulisema Sisi Wasukuma ni nyumbu, Sasa huku.ziwa Victoria unatafuta kuungwa mkono na nyumbu.

Isaya Laiz
Isaya Laiz8 months ago

Onger kiongaz wetu tuko nyuma yako

Mwasita Maswa
Mwasita Maswa8 months ago

Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu.

Vyama vya upinzani hasa CHADEMA kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati rais Magufuli,!

CHADEMA wamesambaza mitandaoni vijana wa kumtetea Mbowe.

Kazi yao ni kuwapumbaza wanachama na wananchi kwa ujumla waone tatizo la CHADEMA ni Magufuli wakati Magufuli hayupo na hakuwahi kuongoza chadema . Kila uzi humu JamiiForums lazima vijana wa Mbowe wataje na kutukana mwendazake!

Mwenyekiti na aliyekabidhiwa usukani wa kuiongoza CHADEMA ni Mbowe lakini hawataki aulizwe chochote.!!!

Kutokana na CHADEMA kufa kila mahali kwa kupoteza mvuto na kukimbiwa na madiwani na wabunge ,viongozi wamebuni mbinu ya kukwepa aibu hii kwa kujificha kwa hayati rais Magufuli!

Viongozi wa CHADEMA wakihojiwa kwa nini chama hakina ofisi watakujibu tatizo ni Magufuli.

Tundu Lissu akiulizwa kuwa yeye ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA lakini kwa nini hafanyi kazi za Chadema? Bavichaa watakujibu chanzo ni Magufuli!

Bavicha ukiwauliza kwa nini kamati kuu ya CHADEMA wanafanyia vikao vyao kwenye hoteli za kitalii na kuacha ukumbi wa ufipa ? Utajibiwa tatizo ni hayati Magufuli!

CHADEMA wakiulizwa kwa nini kwenye uchaguzi mliwatosa makada wenu waliokipigania chama, mkabadili gia angani na kutuletea mgombea urais ambaye yupo kwenye list of shame (orodha ya chadema ya mafisadi wakuu wa nchi )? Utajibiwa tatizo ni mwendazake!

BAVICHA na vijana wote mliosambazwa mitandaoni kumtetea Mbowe ,tambueni anayepaswa kuulizwa kuhusiana na mabaya na mazuri ya CHADEMA ni Mbowe na Tundu Lissu hao ndio viongozi wenu mliowapa ridhaa ya kuwaongoza kwa sasa.

Hayati Rais Magufuli hakuwahi kuwa kiongozi wa chadema ,hivyo kukaa mnamhusisha na kuporomoka kwa chama chenu ni kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa wa hali ya juu.

Kuporomoka kwa CCM wataulizwa Samia na Chongolo na lazima watoe majibu kwa sababu wao ndiyo viongozi wa CCM kwa sasa.

Kwanini nyinyi hamtaki kupata majibu kwa Mbowe badala yake mnataka majibu yatoke kwa Magufuli?

Yasinta Salum
Yasinta Salum7 months ago

Kwani hiyo digital yenyewe inasemaje??

Prophety Safina
Prophety Safina8 months ago

Mnajikoroga sana kuwakaribisha viongozi walio expaya ndio maana chama kinashindwa kutawala kwa ushindi

Anna Shoo
Anna Shoo7 months ago

Shida hawaelezi sera kazi ni kumlaum hayat magufuli.

Edward Kahembe
Edward Kahembe7 months ago

Haki Mungu ccm wanaumia sana, wanakesha

Shaban Ramazan
Shaban Ramazan7 months ago

Chadema itabaki midomoni sio ofisini

Robert Mziray
Robert Mziray8 months ago

Mungu simama na M4C