KUTOKUJAZWA ROHO MTAKATIFU SIYO KWAMBA ROHO MTAKATIFU HAYUPO! AU AMEKOMA KUTENDA KAZI! BALI NI KWASABABU...... IBADA YA JUMAPILI TAR.14/03/2021 HII HAPA>>>>>NGUVU YA KARAMA YA KUNENA KWA LUGHA>>>>https://youtu.be/cRZiRNkGGms #ShuleyaUnyenyeke

Bishop Sylvester Gamanywa 1.7K Views
  • 145
  • 90
  • 19

Generating Download Links...

JIBU LA KILA TABIA SUGU INAYOKUGHARIMU KUKUTESA SANA NA HATA KUTESA WENGINE NI HILI....

Tafadhali amua kuchukua hatua ya kupata mabadiliko ya kweli...

Posted 9 months ago in Religion & Spirituality

Deus B Ngika 8 months ago

Tupo pamoja Baba Askofu

Phiner Julius 8 months ago

Hallelujah.

Martha Togoro 9 months ago

Ni kweli Baba vitabia visivyofaa Roho Mtakatifu anavipukutisha

Lily Mfindi 9 months ago

Saf sana

Eden Joshua 8 months ago

Unarikiwe sana baba

Joyce Tingai 9 months ago

Amen baba

Monica Ndaji 9 months ago

Nakuelewa sana Bishop sanaaa.

Ladislaus Peter 9 months ago

Tuko pamoja Askofu. Mungu akubariki sana.

Filbert Mk 9 months ago

Hallelujah

Grace Mlelwa 8 months ago

Ubarikiwe askofo kwa majibu mazuri na yalio nyooka maana nilikuwa sielewi lakini Sasa naelewa. Mungu akuongezee muda .