"Sirro anapingana hata na Raisi... - Chadema in Blood

Chadema in Blood 11.9K Views
  • 704
  • 38
  • 66

Generating Download Links...

"Sirro anapingana hata na Raisi aliemteua, namwambia hata Kama HAMZA aliuwa Polisi, kitendo hiki hakiwapi uhalali Polisi KUUA mtuhumiwa Kituoni" Mh....

Posted 1 month ago in Politics

Hancy Didace 1 month ago

Sahv mtu fanya yako.Nchi inaenda kupaya watetez hamna na wananchi tu waoga na mitume au manabii hamna.wapinzan tunaowategemea na wao ovyo.Mungu tusaidie

Meshack Marambo 1 month ago

Kwani Hamza aliua Mbuzi au kondoo,,hawa vip

Erick Kulola 1 month ago

Mmetuchosha sasa kamanyie mnapinga raisi yeye kwann asimpinge nyie mbona mnapinga kila kitu mwishowe mnatuchosha

Bruno Itocho 1 month ago

Yaani sijui nihawa tunaowamini viongozi wa badaye au bangi

Muda Ni Mwalimu Mzuri 1 month ago

Siro hana hata sifa ya kuwa mgambo

Prosper Massawe 1 month ago

Mzee tumia ata mafumbo basi tusije kupoteza na ww 😎kavu sana ila asante

Juma Athuman 1 month ago

Mbowe sio Gaidi tunataka katiba mpya kwanza

G Heart Surgeon Silas 1 month ago

Hayo mawani jaman 😂😂😂 ndiomana tunaonekana chama Cha wahuni

Agromelo Matole 1 month ago

Kuelewa nikazi ...hajakataa kua hamza hajaua....anacho kataa ...nipale polisi wanamkamata mtuhumiwa ...kisha wanampiga. Akiwa kituoni ..hadi wanamuua

Emmanuel Joanes 1 month ago

Haya majinga Sana huyo aliefiwa kituoni kaogopa kesi mahakamaniii ,Siri fanya kazi timu mboye,timu kikwete inashawishi utolewe Ila haina shida Mungu yupo