Rasimu ya Jaji Warioba Serikali tatu,... - Chadema in Blood

Chadema in Blood 16.5K Views
  • 631
  • 198
  • 34

Generating Download Links...

Rasimu ya Jaji Warioba Serikali tatu, sikiliza hii.
#KatibaMpya

Share

Posted 1 month ago in Politics

Alex Wiliamu 1 month ago

Toa ujinga wako wewe

Enock Emmanuel 1 month ago

Mimi Kimtazamo ni dhahiri kwamba watu wanaokataa katiba mpya wanatetea nafsi zao na cheo zao maana wanajua kwamba katiba ile ikipitishwa utakuwa unaingia pale mbungeni kwa kura ya wananchi na wala syo goli la mkono
Halafu pia itapungaza ubabe wa kiongozi kujiita umumi na kuwa na uwezo mkubwa sana wa kuvunja katiba hivyo,,,, basi kwasababu pesa nyingi simetumika kuandaa mchakato mxma wa katiba mpya ambyo ni Kodi zetu sisi wananchi tunaomba serikali iendeleze mchakato mxma wa upatikanaji wa katiba mpya

Joel Kuyokwa 1 month ago

Maoni ya wananchi yazingatiweeeeeee

Mweta Jackson Mbwambo 1 month ago

Hii rasim ya mzee Warioba ndio inafaa kuwa katiba ya tanzani na ndio iliojaa maoni ya wananchi.

Maira Francisi Magati 1 month ago

Hii Safi sana wapendwa maoni yetu ndo haya

Zidikheri Semvua 1 month ago

Hizo Serekali 2 tu ! zinawashinda kuendesha gharama zake ni nyingi na matokeo yake Ni Kodi na Tuzo kibao !Alafu Mishahara mumeshindwa kuoongeza kwa miaka 6 Sasa ! -- Alafu mnataka kutuongezea Serekali nyingine ya Tatu !?ili mujiongezee vyeo na mutuongezee Kodi na Tozo za kuziendesha hizo Serekali zenu -- Hatukubali-- Labda mutunyonge wote Kwanza -- Munyonge Mnyongeni Lakini haki yake mpeni. Si Ndio !? Au Vipi !! Sikilizeni nyie Wajinga Katiba ya Warioba ambapo aliwahoji watu wasiozidi laki 3 sio Katiba ya wananchi --- Wananchi sio Wajinga watake Maserekali yote hayo matatu-- Serekali ya Tanganyika Serekali ya Zanzibar na Serekali ya Muungano -- Jambo ambalo litawapandishia Kodi na Tuzo ili kuweza kupata hela nyingi za kuendesha hizo Serekali kibao ambazo hazina maana yoyote kwa Maendeleo ya Mtanzania. Shida ya Watanzania sio Serekali -- Tena wakati mwingine hata Serekali moja tu ni kero na bughudha kubwa kwa wananchi walio wengi -- Kama ingewezekana Binaadamu kuishi Bila Serekali hata hizi Serekali 2 au hata hi moja tusingeitaka kabisaaa ! Tungezifutilia mbali ! Ili --Tubake hivyo hivyo Bila Serekali Allaaa ! Kwani Nini !? Bwana! Rais Ronald Reagan wa Marekani aliwahi kusema "Kuna baadhi ya watu Fulani Fulani wanaofikiri ya kuwa Serekali ni Suluhisho ! La matatizo yao mengi -- Sasa ukweli ni Kuwa Serekali huwa ni Tatizo kwa Mambo yao mengi ya maendeleo "

Marc Ze Done 1 month ago

Ukweli hii rasimu ya katiba mpya ilikuwa nzuri sana

Jumanne John 1 month ago

Huyu Mzee huwa namwelewa sana hajawahi kupindisha maneno ananyoshaga ukweli

Gaspa Petro 1 month ago

Naombeni mwenye hii video anitumie plz whstaph 0744404446

John Kisinza 1 month ago

DUUUH! KUNA WATU WATAKUFA WAMEJAA UNAFIKI ,,,,,,,,. WEWE NANI KWA TAMAA BINAFSI UNAKATIRI MATAKWA YA WATANZANIA 95%?

KATIBA MPYA LAIZMA TENA ILE YAWANANCHI NA SIYO YA WANACCM.