StarTimes - Hivi Bianca anampendea nini huyu jamaa? au...

StarTimes 5.3K Views
  • 409
  • 4
  • 79

Generating Download Links...

Hivi Bianca anampendea nini huyu jamaa? au hela😁 Boss Zoba mwenyewe hapendi kuongea sijui ananuka mdomo😃

Posted 1 year ago in TV & Movies

Samsin Sean 1 year ago

Iseee tubadilishien sauti ya JJ anaongea kma anatafuna mahindi ya moto bhn

Gataina Nyambosa 1 year ago

Mi mwenyew nmemuelewa kinyama😉
Tena hiyo style yake ya kutuma pesa bila kuombwa ndo imenimaliza kabisaaaa.
Acha Gabriel analeta swaga bila mtonyo na minywele yake mwili mzma km binadamu wa kwanza

Witnes Naftaly 1 year ago

Mmenikatia kifurush kabla hata mwezi kuisha,hivi kweli jaman mtu unalipia mwez alaf week tatu kifurush kinakata,mnazan hela inachumwa [email protected]

Mnyama Kenz 1 year ago

Huyu boss wa bianca anampenda lakini ashindwa kujiongea si kunuka mdomo tafathali.

Imelda Nziku 1 year ago

Mzuri ni handsome kuliko gabu Tena yupo single hadi raha jamani asikatae Pete hio naiona I nakuja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jg Mfungo 1 year ago

Kotongoza kwenyewe ajui anajiropokea tu heti nataka uwe mke wangu Dada wawatu asipariwe na maji utongozaji gani huo kanishinda tabia.

Zuhura Msengi 1 year ago

Wala hampendi isipokuwa ni boss wake hivyo anajitahidi kuweka mahusiano ya kikazi vizuri ukizingatia kile kikumbo walichogongana na kujua ndo boss hivyo hkn jinsi lzm ajipendekeze maisha yaendelee

Sarihia Ali 1 year ago

Mama yake nabos wa bianca kaniacha hoi alivyo muuliza mwanawe kamuulixa waziwazi bila hata aibu mtt kachanganikiwa

Ngaya Boaz John 1 year ago

Jamani sauti ya JJ mm siipendi buana haendani nayo Kabisaaaa

Hobokela Ndasani 1 year ago

Mkiongeza gharama muwe mnatoa taarifa mapema sio kukata channel bila taarifa eti mmeongeza gharama ,,mnakela saana,, channel za bure zenyewe ziko mbili tu..