millard ayo - AUDIO: Huyu ni Mke wa mmoja wa Askari Polisi...

millard ayo 178.3K Views
  • 5.7K
  • 181
  • 1K

Generating Download Links...

AUDIO: Huyu ni Mke wa mmoja wa Askari Polisi waliouwawa kwenye tukio la jana la kurushiana risasi lililotokea Dar es salaam karibu na Ubalozi wa Ufaransa...

Posted 2 months ago in Crime & Tragedy

Ummu Kurthum Bint Ally 2 months ago

Kumbe wanajuana na MAREHEMU HAMZA Kisha wanamfanya Hamza NDIO mkosa Hawa polisi NADHANI walimfanyia kitu kibaya huyu HAMZA NDIO MAANA AKAAMUA KUJITOA MUHANGA HAWEZI KUDHULUMUWA HAKI YAKE

Alex Mwabhingila 2 months ago

Wabadilike mbona mishahala wameboleshewa na kama mishahala mibovuu ni kwanini wanatumia nguvuu nyingi kuwa kamata wapinzani wanao tetea masirah yao wabadilike pesa imekuwa ngumu wamezoa kubambika na kudhurumu pia kuna watu wanafia vituo vya police hao ndugu zao mnawambiaje police msipo badilika kumbe nyie hamna lolote mtu mmoja kauwa sita je kila mlie mzurumu angefanya kitendo kama hicho ingekuwaje mama jana kasema mlikimbia na nyama mbishieni na rais bas

Mose Waafrica 2 months ago

Hahaaaaa huyu jamaaa sio gaid Bali alikuwa sahihi

Joseph Mapigano 2 months ago

Pole sana mama wa hamza hao wengine potelea police make hawaliziki so watajua wao

Juma Yusuph 2 months ago

Yani nyie waandishi mnakazania tu upande mmoja wa vifo vya police vp kuhusu upande wa Hamza Mohammed maana yeye pia ni marehemu aliyeuwawa na hao police mbona hamuelezi sababu ya yeye kuuwawa chanzo chake hadi kupelekea umauti au ndo mmekalilishwa na neno jambazi , gaidi.

Milanzi Milanzi 2 months ago

Kwa sisi wengine tunaojua kuunganisha dot Mpaka sasa naliona Kuna Jambo ambalo Polisi wanalijua in and out ambalo hawataki umma tulijue lakini binafsi Akili na nafsi yangu inakataa kulihusisha tukio husika na ugaidi ila Polisi Wanajua zaidi ni Nn kilichomo Ndani ya tukio lile na Mashaka yanaanzia tuu pale mtuhumiwa kunyoosha Mikono juu kwanini musimkamate nyie mkakimbilia kumuua mnataka kuficha au kumlinda nani ✍️✍️✍️

Bakari Mwaliko 2 months ago

Mama Hamza ww pole sana namsiba , hao wengn mmmmm buku zetu ,

Josephaty Jumapili Jr. 2 months ago

Inauma ila haipingiki ishatokea! Jambo muhimu ni ASKARI kuwa makini katika kutenda haki. Hakuna mtu anaeweza kubeba siraha tu bila sababu za msingi na aanze kupambana na askari hapo lazima kuna dhuruma imefanyika mpaka mtu ajitoe mhanga. ANGALIZO: Serikali itende haki kwa wananchi bila kujali hali ya maisha ya mtu maana wapo ambao wanaonewa kwa kesi zisizo zao kisa hawana pesa.!

Abbas Kivambe 2 months ago

N maumvu yaan tuyahis wote kama pande za shiling meana daaaah cyo kwa wazaz wa akwelina tu

Urio De Boss 2 months ago

Dah asilimia kubwa ya watu wanaokaribia kufa wanajionyesha kwa maneno hata matendo