Azam TV - LEO USIKU KWENYE THE CITY Hatimaye Sheniz...

Azam TV • 6 months ago   317     15  •  8K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

LEO USIKU KWENYE THE CITY

Hatimaye Sheniz yamemkuta yaliomkuta Nedim!

Je, Damla na Jenk watamsamehe mama yao kwa makosa aliyoyafanya?

Usikose...

Posted 6 months ago in TV & Movies
Comments
Nassim Mohamed
Nassim Mohamed6 months ago

Napenda drama zake hii tamthilia

Mahamudu Classic
Mahamudu Classic6 months ago

Mbona Kama siwaelewi elewi kati ya mzee agga karachai na mama ake jereni馃槉馃槉馃榿馃槀

Maria Cosmas
Maria Cosmas6 months ago

Kama vile inakaribia kuisha hivii

Anna Shebyson
Anna Shebyson6 months ago

Kuimba kupokezanaa,,, zamu yako senizz,,,,, maumivu aliyopitia nedim yakukute maradufuuu,,,,,, team nedim kwetu vichekoooooo kma vyoote

Edna Mnkai
Edna Mnkai6 months ago

Kichwa chekundu hatimae Siri imefichuka safi sana yalio ya sirini yatawekwa wazi Kweupeee ukweli ujulikane 馃榾馃榾馃榾

Sasha Kikala
Sasha Kikala6 months ago

Kichwa chekundu kapatikana

Hamic Cool
Hamic Cool6 months ago

tamthilia makini sana

Silvanus Maryam
Silvanus Maryam6 months ago

Hahahahahaaaaaahaaaahaaaa kichwa chekundu

Swallo Leah
Swallo Leah6 months ago

Daaaaa kichwa chekundu kimemkuta kitu

Ange Angela
Ange Angela6 months ago

I like