UZINDUZI: TOLEO LA 16 LA RIPOTI YA HALI YA UCHUMI TANZANIA

JamiiForums 11.8K Views
  • 412
  • 17
  • 84

Generating Download Links...

Benki ya Dunia inazindua Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania inayoangazia kwa karibu Sekta ya Utalii

> Lengo la Ripoti ni kuangalia namna ya kubadilisha...

Posted 3 months ago in Social Issues

Baraka Andrew 3 months ago

Wabongo mnajifanya mnajua kuliko waliotengeneza hizi vaccine hahaha vilaza wengi sana. Madawa yote mnayotumia hakuna hata moja ambayo imetengenezwa Tz hicho kiburi sijui mnatoa wapi

Dully Wa Mashairi 3 months ago

Na hy chanjo kama ni ya kweli kwann wao wanaendelea kupikutika, wanashindwa kumalizana na corona katika taifa Lao kwanza!??

N maswali ambayo mtanzania unatakiwa kujiuliza kabla ya kushobokea dundo

Paul's Guido Simba 3 months ago

Tawala zote uchumi wetu ni tegemezi kama vile elimu ilivyo ya ku copy angalia kama hapo MOSHI wapo maprofisa zaidi ya 50 wamestafu sasa wapo nyumban kwao wamestafu WANACHUNGA MBUZI wameshindwa hata kuanzisha community univesity kwa umoja wao ambayo ingesaidia kukunza uchumi

Dully Wa Mashairi 3 months ago

@benedicto, labda ukachanjwe wewe na familia yako

Bether Michael 3 months ago

Mbona kila kituu ni sisi msaada sisi
Utalii sisi
Chanjo sisi
Mkopo sisi
Kwani tunakwama wapii

Sebastian Don Ndibalema 3 months ago

How can Tanzania achieve this while they increase park fees and other taxes to investors and tourists every year without considering economic situation of the world today??? This will only remain in papers

Harith Riyami 3 months ago

Michanjo washatupa wanakuja na sera zao mpy daah subirn bs hata johnson aondoke

Dully Wa Mashairi 3 months ago

Kwao tukienda wanatunyanyapaa, wanarubagua kwasababu ya rang zetu. Wanatuwekea GOTI LA SHINGO mpaka tunakata roho. Wanawezaje kutuaminisha na wema wao wa chanjo kama si kutaka kutuangamiza na dawa zao??

Audax Muperasoka 3 months ago

It seems WB had lost a battle to interfere with our economy! Create problems then come up with solutions. So the guy is confidently talking from expatriate corner because Covid 19 exists.

Masanja Dominiko Andrewd 3 months ago

Raisi Ali mwinyi alishawahi kusema Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu. Kila NTU hujifunzia taaluma yake. Alikuwa anatuamsha ila ningumu kumwelewe.