Boniface Jacob - Nimategemeo Yangu Sikukuu Ya Mei Mosi...

Boniface Jacob 850 Views
  • 37
  • 4
  • 3

Generating Download Links...

Nimategemeo Yangu Sikukuu Ya Mei Mosi Mwaka huu Itakuja na Ongezeko la Mishahara kwa Watumishi wa Umma.

La Sivyo Watumishibwa Umma kama walimu...

Posted 6 months ago in Politics

Chidi Hizza 6 months ago

Acha kubuni tu eti mikoa ya kusini ushahidi upo wapi wewe ulipokuwa kwenye kile kiti wanafunzi wa aina mbona walikuwa wengi tu au lilikuwa sio jukumu lako yaani hii nchi kila mtu anatetea tumbo la familia yake anapokuwa kwenye mamlaka fulani ila mamlaka ikiyeyuka ndio tunarudi kwenye jamii acheni kucheza na akili za watu

Hassan Nairob Skuul 6 months ago

halafu na Wabunge walipe kodi toka mishahara na mapato yao

Tumsifu Byangwamu 6 months ago

Hatari sana