millard ayo - Polisi Kanda Maalum ya DSM wanawashikilia...

millard ayo • 5 months ago   3.7K     368  •  109.9K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Polisi Kanda Maalum ya DSM wanawashikilia Watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu Watu wawili Mwanaume (Rashid) na Mwanamke...

Posted 5 months ago in Crime & Tragedy
Comments
Lightness Kanuya
Lightness Kanuya5 months ago

Yaan unakuta MTU Ametelekezwa nakuachiwa Familya, kiukwel Inauma sana tu, yaan wanategemea ukiachwa upauke ukose hata muonekano mzur, Sasa Akijitokeza MTU Alye kuelewa Analeta nanii zake nakukuvamia ...Aiseee!

Felista Mgaya
Felista Mgaya5 months ago

Ukisema chanini wenzako wanawaza watakipata lini umekitupa jalalani wamekiokota

Tumbombelege Mwasilembo
Tumbombelege Mwasilembo5 months ago

Hata kama wanaonekana kudekezana hapo,ila kipigo walioga.Pole yao

Mary Mlw
Mary Mlw5 months ago

Jamani ndy kupiga ivo na nimesikia saut ya mwanamke

Hellen Elias
Hellen Elias5 months ago

Yaani huyo baba afungwe tu. Kuachwa imekuwa shida uwadhalilishe wenzako. Wapewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine

Nzitu Wilson Mwagala
Nzitu Wilson Mwagala5 months ago

Mbwa kabisa uyo jamaa na ndugu zake sheria ichukue mkondo wake wajinga sana haojamaa

Flopizzo Florence
Flopizzo Florence5 months ago

Kuachwa kunauma jamni daah..
Mjuba baridi limempiga sana akaona hapana isiwe tabu

Justin Mamba Justin
Justin Mamba Justin5 months ago

Aiseee haina hata haja ndoa hchoo kipigo peke yake ni ndoa tosha kikubwa mngoje baraka kutoka kwa mungu tu.na ikiwezekana ukisha muoa upite mbele yake kila siku ili uzidi kumuumiza roho mpaka ahame yeye

Babu Tz
Babu Tz5 months ago

Huyu alikuwa nyege zimemzidi akaona tu wivu

Pendo Mbise
Pendo Mbise5 months ago

Huyu Mwanaume anafaa kwakweli daah Kifuatacho ni ndoa sasa kila jambo linakusudi lake