Msajili wa vyama vya Siasa Hana Mamlaka... - Chadema in Blood

Chadema in Blood 15.4K Views
  • 1K
  • 133
  • 99

Generating Download Links...

Msajili wa vyama vya Siasa Hana Mamlaka yoyote juu ya mikutano ya kisiasa. Mh. Tundu Lissu

Posted 1 month ago in Politics

Deogratius Fabian 1 month ago

Hiyo ni kulidhailisha jeshi la police siro achana na siasa wew wape uwanja wana siasa wapambane wew ni mtu wa kusimamia usalama fanya jukum lako wala si kuzuia wasifanye ...kazi yao ya siasa wew ukizuwiwa usifanye kazi zako za kipolice utakubali hebu jiulize tu wanasiasa wa chama tawala wasikugombanishe mbona hikuwahi kuwa na tabia hiyo tunakujua toka ukiwa RPC mwanza ulikuwa mtu wa haki hadi ezekiel wenje akashinda usikubali acha wapambane wao kwa hoja...inje ya hapo wazee wa kazi wakishika nchi wew pia hutokuw hapo nakuambia...angalia kule africa magharibu mfano halisi

Juvenary William 1 month ago

Nimeiona hiyo jezi mkuu wangu,sina shaka kabsa na uzi huo

Deogratius Fabian 1 month ago

Huko ni kukosa siro weledi katika kazi yako unachonganishwa na wanasiasa kwa wananchi kisa wameshindwa kusimamia rasilimali za nchi na kujibambia wao wananchi walishagundua wao sasa wanakutumia iliudhoofishe wengine ambapo wananchi wakiamua ndgu yangu ...hakuna askari wa kukaa ...hata kila mwananchi aje na panga ....au kutafutana uraiani unahisi ....si tunaishi nao raia matokeo yake nini mbona police wengine waelewa sikiliza speech ya mkuu wa police tabora alivyomchana mkurugenzi ...hao ni wanafiki wanatutumia askari kama chambo tu ....ili wao wanemeke angalia hata maslahi hawawezi kukupa mshara mkubwa kama wao.

Frederick Mwamgonde 1 month ago

Kinachofanywa na serikali hii ya CCM na vyombo vyake ni uhuni tena ni uhuni wa mviringo! MBOWE SIO GAIDI. TUNATAKA KATIBA MPYA.

Festo Mgasa 1 month ago

Hana jipya馃ぃ wee!! unajipya gani Tz hii?

Gabriel Mgogolo 1 month ago

Chuma cha pua,nakuelewa sana Tundu Lissu

Godfrey Alphance 1 month ago

Tutakika tu mwisho wa haya yote ila ujinga usiwe karibu yetu tunapenda mtanzania ajue samani ya mwenzake siyo ccm pekee ndio mtanzania hapa wapo watanzania wengi

Chaka LA Mamba 1 month ago

Aisee lisu nakukubali 100% mwenyezi Mungu aendelee kukulinda na akupe mwisho mwema pia

Sabrina Ally 1 month ago

Njoo sasa uyaseme hapa nchini. Unatuma wenzio yakiwakuta we haupo. Njoo ushiriki kwenye hiyo mikutano kwa matendo...