Taarifa ya Habari, Saa Mbili Usiku, Aprili 19, 2021.

ITV Tanzania • 9 months ago   1K     285  •  21.9K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Taarifa ya Habari, Saa Mbili Usiku, Aprili 19, 2021.

Posted 9 months ago in Politics
Comments
Zahi A Zahi ALmas
Zahi A Zahi ALmas9 months ago

Jamani mbona mambo ya kihuni yamekuwa mengi Sasa Hivi lkn wakat wa hayati Dr. Magufuli yalkuwa hayapo?
Mivutano mingi serikalin, viongoz wanaongoza wanavyotaka, kila kiongoz anataka kujichukulia anachokiona kinamfaaa akitumbuliwa anaona sawa tu, kwann?

Prisila Muzo
Prisila Muzo9 months ago

Karibunii kwenye @alwaysfamilytz Tunajiusisha namambo ya Afya ya uzazi kiujumla magonjwa sugu UTI ,PID,FANGASI.N.K pia tuna Virutubisho kwa watoto wasio kula kuongezeka uzito na magonjwa mbalimbali ktk ukuaji wa watoto wasiliana nasi 0656161423

Lazaro Chanika
Lazaro Chanika9 months ago

Tuko pamoja na itv yet Benjamin mzinga mm ninakukubal Sana mm ni mtoto was kmasai ninaweza kukuiga we ukitangaza na kassim kaira was BBC na Ezekie malongo was radio tz Dar

Damian Masawe
Damian Masawe9 months ago

Pamoja na yote katika vyote alivyofanya raisi magufuli.sikutegemea kama wangezubutu kumsema huko bungeni,sipati picha angekuwepo ingekuwaje.

Kasmiri Sambala
Kasmiri Sambala9 months ago

Naona mama leo kaapisha hao jamaa kimyakimya. Hata hajaongea chochote. Naona katunza maneno ya kuongea na taifa alhamisi jioni 22.04.2014... I can't wait for her speech,Keep going mummy!!!

Kasmiri Sambala
Kasmiri Sambala9 months ago

Ww ndio mtendaji mkuu wa serikali. Hongera kwa kuchukua hatua. Inaonesha jinsi ulivyo na uchungu na mali za watanzania.

John Marwa
John Marwa9 months ago

Waziri Mkuu Tomuwa wote,Wafukuzwe wote

Damian Masawe
Damian Masawe9 months ago

Bunge lingeyafanyia kazi mawazo ya mweshimiwa ngwajima.kuwa taifa linatakiwa liwe na mpango wa maendeleo wa kitaifa,na si wa chama.shida iko hapo.

Ally Mkulima
Ally Mkulima9 months ago

Wazir unapga kaz huyo jamaa anafaa akaunt yake ichunguzwe ameiba sna

Damian Masawe
Damian Masawe9 months ago

Kila sekta ya serekali ni matatizo.kwenye usimamizi.kila mtu anachukua chake.akifukuzwa poa tu kashafaidi.