Azam TV - #Tandi Leo saa 1:00 usiku katika tamthilia ya...

Azam TV 2.1K Views
  • 237
  • 3
  • 10

Generating Download Links...

#Tandi
Leo saa 1:00 usiku katika tamthilia ya Tandi kupitia #Sinemazetu.
@sinemazetu103 @raythegreatest @kim_bernick

Posted 11 months ago

Rugemalila Felician 11 months ago

Azam nilikuwa nawapenda Ila kitendo Cha kutunyima chanel za michezo kwenye kifurushi Cha kumi na tatu bora mngebakiza Cha kumi na name kiukweli

Mwisi Primary 11 months ago

Hawa wahindi siwashangai ndo tabia zao zilivyo wapo kimaslahi yaani mmetushangaza na mbwembwe nyingi za kishamba eti mmepunguza bei kwa akili zenu nani alipie huo uharo wa sinema zetu kwa sh 8000 acheni mitamaa yenu

Selestina Laurent 11 months ago

Ukweli nilifurahia Sana nakushangilia pale niliposikia Azam tv imeamua kuwashushia bei zavifurushi wateja wake nakukitambulisha kisimbuz kipya chaantena Kwan wengi wetu bei kubwa uwa nichangamoto.
Lkn kwasasa sifurahishwi kabisa namaamuz yenu. Fikiria kwamba wale wananchi wote waliokuwa wakiipata azam two, one kwa sh 10000 sasahiv na hal ngumu hii akaipate kwa sh. 13000 ni mteja gan atafurahia punguzo hilo.
Maana yakifurush cha azam pure ni azam sport HD1, na HD2 hizo nyingne nipolojo.
Kwhyo unaposema kifrsh cha azam pure kmeshuka toka 18000 had 13000 alafu hzo Chanel 2 umezitoa, ndo kukomoana ama ndo kuitafuta hela kinguvu.?
Turudishien vilevile la sivyo mtaona matokeo yamaamuz yenu yasio yafuraha kwawateja went.

Thomas Mluge 11 months ago

Azam tv mnapoelekea sasahiv nikujibakiza ninyi namadish yetu.
Mlikuwa mnakuja vizur Sana, ila kunauwezekano mkapotea hapa mbele.
Nivizur Sana kuweka bei ndogo zavifurush ili uwe nawateja wengi kuliko kuwa na wateja wachache kwa7bu yabei kubwa yavifurush. Kuna kampun inaonesha ligi nzur na wengwetu tunazipenda Sana lig hizo Lkn gharama zake zko juu mno. Hvyo ni ngumu kuwa naburudan ndan inayopoteza pesa nying ukilinganisha nakipato.
Upande Wang namarafik zang wote nitembeapo na had kazin kwang, ombi letu nikwamba:
Sinema zetu, azam one na azam two ziwekwe pale pale Kwa Saadan kwa 8000.
Na azam SPORTHD1, na HD2 ziwekwe Kwa Mikumi kwa 13000 ikishndkana tuachieni vilevile lah ikishndkana kabisa mtalipiaga wenyewe, tushachoka namaisha wabongo.

Ally Mapies 11 months ago

Haiwezekani muondoe azam one na two kwenye kifurush cha awali muzipeleke kwenye kifurush cha elf 13 huo ni ukandamizaji mmejifanya kupunguza bei kumbe hamna lolote acheni tamaa zitamiponza

Ally Mapies 11 months ago

Hawa azam hawatujui vizuri wanyonge ngoja waone na bei zao za kipuuzi hzo watajuta sana

Ally Mapies 11 months ago

Nyie waduanzi kweli mwajifanya mwapunguza bei kumbe ndo mwapandisha tutawahama mana mshatuchoka

Thomas Mluge 11 months ago

Mim tangia ninunue azam 2014 sijawahi kuacha kulipia hata mwez mmoja, lkn kwasasa kikiisha hch nilichonacho ukweli nitasimama maana mnatupelekesha, rekebishen vizur tusonge kwapamoja.

Joirini Arekisanda 11 months ago

Kwakeri mnafundisha jamii kwa ujumura