East Africa TV - VIDEO: Bob Rudala - Nimekuchagua wewe...

East Africa TV 44.1K Views
  • 1.3K
  • 1.6K
  • 127

Generating Download Links...

VIDEO: Bob Rudala - Nimekuchagua wewe

Tuambie ulikuwa wapi kipindi ngoma hii inatamba? kisha SHARE na wana tujikumbushe tulikotoka.

Posted 4 years ago in Music & Audio

January Buhumbi 9 months ago

The best song but also in long time love it

Chacha Yvanny Tembo 6 months ago

Safali Ya Ndoa

Simani Serafini 4 years ago

Duu yani uhu wimbo nilikuwa na upenda ila nilikuwa bado hahaha sana ila nilikuwa nauiba wote km niliutunga mm

Madafa Chombo 4 years ago

Naipenda sana nyimbo hii.

Marijani Peter 4 years ago

Duuu umenikumbusha miaka ya 1922 wakati tuna mtoa nyerere nnje baada ya kutimiza siku saba tangu azaliwe huu wimbo ulipigwa

Nana Nuly 4 years ago

Mmmh... Wakat huo I was still a little kid.. Guess I was elementary school..

Killian Wambura 4 years ago

Saa Jagire 4 years ago

nakumbka kipindi hicho king hamorapa alikja studio ya nyumbni na kurekodi wimbo wa nundu lakn cha ajabu anakja kuitoa mwaka huu usiforce tufanane

Princces Miriam Jesca Mollel 4 years ago

Cjazaliwa