USITUACHE BABA JPM - Chama Cha Mapinduzi

Chama Cha Mapinduzi 12.3K Views
  • 261
  • 64
  • 32

Generating Download Links...

USITUACHE BABA JPM

Posted 7 months ago in Politics

Mohamed Majaliwa 7 months ago

Hii clip angetumiwa yule mhaini wa Ubeligiji....aone nchi ilivyokuwa na uzalendo....tumeumia Sana kwenye nyoyo zetu.. lala Salama, Rais Wetu, Baba Yetu....mtoto wa Africa.

Rachi Rachel Christian 7 months ago

Waaa may God comfort tanzania,you really loved and cherished you president,
May he Rest in power

Tito Ashery 7 months ago

Alafu kuna kima moja yuko na mashoga wezake anaropoka eti Rais wetu kipenzi eti ni dictator, aisee atumiwe hiii clip aone watanzania tulivyo mpenda Rais wetu

Blandina Cleopa 7 months ago

Baba baba where you you Dad 馃槶馃槶馃槶馃槶

Mkuta Simon 7 months ago

Duh akiiii 馃槩馃槶馃槶馃槶poleni sanaa watanzania kwapigo hilo aiseee inauma Sana wallai 馃槶馃槶馃槶馃嚢馃嚜tunawapenda ndugu zetuu

Stanley M Saimon 7 months ago

Cjui vibara vya mabeberu mnaona??? Mana kazi yenu ni kubwabwaja tu angalieni Hindi watanzania walivoumia baada ya kumpoteza mwanume kwelikweli,

Pamphilious Mandago 7 months ago

Amazing! Upendo wa hali ya juu 馃憦馃憦

Andrew Lawson Bracken 7 months ago

Hisia ya Wananchi ni uchungu n upendo hali ya juu

Maryy Shija 7 months ago

MTU wa watu, ulale pema pepon baba, Mwenyez Mungu akupumzishe

Laillat Hassan 7 months ago

Hakika Mungu amempokea kiumbe wake