Mauzauza ya kipa wa Mbao vs Azam FC - Oktoba 21, 2017

Azam FC
Azam FC
  • 270
  • 32
  • 49

Hebu mtazame kipa wa Mbao, Iyvan Rugumandiye, akifanya moja ya mauzauza muda mchache kabla ya mapumziko wakati Azam FC ikipambana na timu yake (Mbao) Oktoba 21 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Je, unadhani vitendo vya aina hii vina faida yoyote kwenye soka letu au vinazidi kuturudisha nyuma?

Kutazama video zaidi kwenye chaneli yetu ya mtandao wa #YouTube, bofya hapa: https://youtu.be/0zMdebkKx-s

Posted 2 years ago in SPORTS