East Africa TV - #VIDEO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,...

East Africa TV 16.6K Views
  • 961
  • 671
  • 126

Generating Download Links...

#VIDEO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akieleza jinsi alivyoanza kudhibiti dawa za kulevya katika mkoa huo na kutaja mastaa wa bongo fleva na...

Posted 5 years ago

Abdul Azizi 5 years ago

nakuunga mkoono

Sechu Isdory Kimbosha 5 years ago

Makonda kuanzia Leo ntakuwa nakuunga mkono jamangu!
Awali nlikua sikufagilii ila kwa hiyo issue ntakupandisha cheo!
Kesho ntakutumia shilingi buku moja na jero (1500) taslimu kama zawadi.

Asha Charles 5 years ago

tumuombee mungu maana ambae hana MTU ambae anavuta haya madawa hatajua madhara yake lakini vijana wa kitanzania wanamalizika na haya madawa

Meinrad Mutashobya Michael 5 years ago

unapowatangaza vifaranga ,ila ukawasahau kuwachukulia ha2a majogoo waliotaka kukuhonga ili uctokomeze biashara ya shisha ! nabaki na uwalakin na utendakazi wako bwana Makonda !

Hussein Kassim 5 years ago

kwa hili nakupongeza mkuu wa mkoa na nakuombea kwa mungu akulinde juu ya baya lolote juu yk

Harmese Hamis 5 years ago

Pongezi kwako ila ningependa kuckia majina ya hao watu watano

Mengi Leonard 5 years ago

Watanzania wote kwa pamoja tuunge mokono jitihada za viongozi wetu kwa Yale mazuri.

Jonas James Msangazi 5 years ago

Hapo wapo wanaofanya kila liwezekanalo wakimbie nchi, maana kila kitu hadharani. Huu ndo UKWELI kuwa wakiokuwa WANAISHI KAMA PEPONI hapa Bongo kwa PESA KHARAM, sasa wajiandae kuja kulima kwa mikono yao huku kwetu. Na MATEJA walivyo, wakiulizwa tu, watasema kila kitu so mambo HADHARANI! TUMEUMBUKAAAAAAA!

Oscar Masuki 5 years ago

ila ni hatari kwa uhai wako mkuu. ni hatari mno

Kitanunu Israel NB 5 years ago

Kubwa ni kumuombea kwani janga hili ni letu sote ni siyo la kufumbiwa macho