DW Kiswahili - Mvua ya theluji, nje ya ofisi za DW...

DW Kiswahili 5.7K Views
  • 349
  • 6
  • 51

Generating Download Links...

Mvua ya theluji, nje ya ofisi za DW Kiswahili Bonn.

Posted 8 months ago

Ntandu Wa Ntandu 8 months ago

Ije na huku kwetu bhs da! Mazingira yanapendeza hongera dw

Umwana W'inkuba Habonimana 8 months ago

Mungu yupo

John Mbwaike 8 months ago

Ni BARAKA ZA MUNGU WATUMISHI WOTE WA DW MSEME AMINA

Nicoraus Godifred Kayago 8 months ago

Wakibwigwa kigoma Tanzania
Neema hiyo

Ahmed Seiph 8 months ago

Mbona naona machaka machaka kwan Born bado hakujajengeka

Vedasto Romani 8 months ago

Mkazi wa nzega tabora tz full respect baraka hiyo

Alumasa Jackson 8 months ago

Baraka hiyo

Mdungi Ibun Hajar 8 months ago

Ndo kwanza nawahi kuiona mvua ya theluji, kumbe iko hivo?

Patrick Kakudji 8 months ago

Wa kalemie drc duhhhh

Leonard Mushi 8 months ago

Mazingira yanapendeza sana DW Kiswahili . Endelea kuyatunza nayo yatawatunza. Huku kwetu Afrika tumeharibu sana mazingira sasa tunalipa gharama.