NANI ANIFUTE MACHOZI: SAMAUEL MV BUKOBA

Samuel Mv Bukoba 134.4K Views
  • 612
  • 316
  • 213

Generating Download Links...

AJALI YA MV BUKOBA, SAMAUEL NA WAZAZI WAKE WAMO!..JAPO MTOTO MCHANGA, YEYE TU KASALIMIKA, KAPONA LAKINI YATIMA...TUMSIKILIZE SAMUEL MV BUKOBA, 0759262577...

Posted 4 years ago

Rehema Cremence 4 years ago

Mungu ndo kimbilio lako anamakusud nawe usisononoke wala usihuzunike

Violleth Kinabo 4 years ago

Mungu ni zaidi ya ndugu mtegemee yeye.

Rachel Thomas 4 years ago

Mungu azidi kukupigania Samuel...

Hepp Paul 4 years ago

Pole sana samweli

Ezekiel Ngaleka 4 years ago

Damu ya yesu itakufuta machozi.

Merab Qween 4 years ago

Mungu ndo kilakitu nduguangu. Atakufuta, na atakufaliji kuliko unavofikilia! !!Mungu tenda muujiza mkubwa

Azizah Kimote 4 years ago

Polesana mungu anamakusud yake kukuacha hai

Ledines Kimario 4 years ago

Inauzunisha sana mungu awape nguvu.

Bahati Haji Ramadhani 4 years ago

Pole sana yaani kufa jamani kunaumiza ila ndio kazi yake mola

Noreen Joely 4 years ago

TEGEMEO LETU NI YESU TU WANADAM C WEMA