NI YESU TU: SAMUEL MV BUKOBA (HD)

Samuel Mv Bukoba • 4 years ago   247     70  •  237.2K Views
Generate Download Links

Click the button to get the download links.

Mimi Samuel MV Bukoba, 255759262577 nilikuwa mtoto tu nilipopona ajali ya MV BUKOBA tarehe 21 MAY 1996...Ni kwa Neema tu ya Mungu Mkuu Yesu...

Posted 4 years ago in Religion & Spirituality
Comments
Regina Lukas
Regina Lukas1 year ago

Daah amakweli ni YESU tu,, hakuna mwingine MUNGU azidi kukutunza.

Angel Paul
Angel Paul12 months ago

Kaka napenda Sana nyimbo zako naomba unirushie nyimbo zako watsap 0624521241

Alice Ole
Alice Ole8 months ago

Hallow

Rahel Mbwambo
Rahel Mbwambo4 years ago

Amen,barikiwa sana

Skola Msimbe
Skola Msimbe4 years ago

Balikiwa kaka

Jafa Jafary
Jafa Jafary3 years ago

jaman kaka naupataje ule wimbo wa anatawa kiupande upande naupenda sana yani mung azid kukupa nguvu ndugu yangu cheza uwezavo usijali wanadam watasemaje w msfu mung uwezavo endelea kusonga mbele mung yupo pamoja na ww

Martha P Isack
Martha P Isack4 years ago

Amen,kweli ni Yesu tu mpendwa.

Zenah Kiketelo
Zenah Kiketelo4 years ago

MUNGU juu mbingun akutunze daima.

Patrick Imbusi
Patrick Imbusi2 years ago

Wimbo wako umenibariki mungu akuzidishie

Eunice K Mwendi
Eunice K Mwendi4 years ago

Mungu ameona kitu ndani yako kaka kaza buti daima Yesu mbele usiogope amini tu Mungu yuupande wako