JamiiForums - COVID-19: KIRUSI AINA YA DELTA KWA MUJIBU WA...

JamiiForums 20.7K Views
  • 434
  • 37
  • 138

Generating Download Links...

COVID-19: KIRUSI AINA YA DELTA KWA MUJIBU WA WATAALAMU

Daktari anabainisha kuwa Kirusi aina ya Delta ni korofi kuliko virusi vingine vya awali ikiwemo...

Posted 5 months ago in Social Issues

Nyambura Fabian 5 months ago

Ila chanjo zije tuchome tu muwache store za mitandaon zinafika Lin tunaanza kuchoma lini

Clifford Peter 5 months ago

Hapo tayari account imejaa kwa hilo tangazo. Covid ni covid hata ije Delta force bado ni covid. Au basi mlete kirusi kingine mkiite spiderman.

Meja Tz 5 months ago

Muda c mrefu nitajiondoa kwenye account yenu kwa upuuz wenu na hao wanaowatuma kutujaza hofu
Mbona enzi za magufuli hamkuthubutu kufanya hivi, na tulivuka salama, kama nia yenu ni kutujaza ili tukubali chanzo mmechemka
Hachomwi mtu chanjo zenu za kishetan na kiuaji
Tanzania ni taifa linalomtegemea MUNGU kuliko taifa lingine lolote dunian
Tanzania ni kipenzi cha MUNGU

Lucas Boniphace Boniphace 5 months ago

Yaani kiukweli nikupotoshana tu. Siamini muvyojitajid kuna na kutangaza Covid kuwa inanguvu kiasi hicho. Tumuamini Mungu tu pekee anatosha . Mungu siyo Mzungu atuache na atudanganye. Wazungu najua hawana na upendo wa kweli kwetu. Haipo siku watatutakia mema. Zaidi tupigeni nyungu na kumtukuza muumba wetu.

Amor Magoto 5 months ago

Wazungu bwana mnatuchota akili!! kirusi kinapimwa na jina linatokea apoapo kwa microscope 馃槄

Mbiaji Lema 5 months ago

Hivi wachawi wote Tanzania mmeshindwa kutengeneza kirus.

angalieni wenzenu wanavyopiga hela. kila siku wanakuja na jina jipya.

ikitoka Corona. itakuja Corolla kisha Honda

Bosco Sechu 5 months ago

Hiv mtu unajikingaje na korona ? Kwakuvaa barakoa na kunawa mikono ?

Julius Kahela 5 months ago

kwa hiyo hizo chanjo zinachagua kilusi mbona huko waliko anza nako bado kinawasumbua hapo ndi tunamkumbuka alie sema mtanikumbuka

Recho George 5 months ago

Kikipita kicho andaeni na kingine , munaviabudu Sana hivyo Virusi, Mungu yupo atateta nao

Amiri Mohamed 5 months ago

Tatizo la kusoma kwa kukariri ndio hili. Wenzenu wanaumiza vichwa kufanya research ili kuondoa tatizo,ww unakaa na kujirekodi kana kwamba unapromote the new product.