11.03.2021| WRM LIVE || SIKU YA KUMI NA NANE (18) | MFUNGO WA MAOMBI SIKU 50 |CHIEF PROPHET SUGUYE

Prophet Nicolaus Suguye 1.8K Views
  • 204
  • 13
  • 215

Generating Download Links...

Unaangalia matangazo mubashara ya SIKU YA KUMI NA NANE (18), MFUNGO WA MAOMBI SIKU 50 kutokea ndani ya KANISA LA WRM lililopo Kivule Matembele ya...

Posted 7 months ago in Religion & Spirituality

Khadija Zillinde 7 months ago

Jumamosi ibada unaaza saangapi

Mkunde Kitunga 7 months ago

Najiungamanisha na madhabahu yenye yako na nguvu ya Mungu aliye hai pamoja na Prophet Nicholaus Suguye, Yesu Yu Hai!

Akaniwa Mzule 7 months ago

Njiungamanish na ibada ya leo maadui zangu wote wakapigwe kwa jin la yesu AMEN

Cecy Charles 7 months ago

Asante BABA yetu wa kiroho kwakutufungua

James Gregory 7 months ago

Najiungamanisha na madhabahu ya bwana ya WRM kwa muda huu baba prophet nicolaus suguye nafunguka kwa jina la yesu kristu Ameen James

Ndagula Msabaha 7 months ago

amen najiungamanisha na neema ya madhabahu ya Wrm nami initetee na kujibu haja za moyo wangu amen

Godmercy Sinsakala 7 months ago

Nipo ibadani WRM online

Ndagula Msabaha 7 months ago

Eee Mungu wa chief prophet suguye nipatie promotion

Cecy Charles 7 months ago

Ameen

Tuma Ali 7 months ago

Amen