Ufufuo na Uzima Kahama, Mtu ni... - Ufufuo na Uzima Tanzania

Ufufuo na Uzima Tanzania 447 Views
  • 62
  • 9
  • 10

Generating Download Links...

Ufufuo na Uzima Kahama, Mtu ni Roho inayokaa ndani ya Nyumba na nyumba inaitwa Mwili. Binti huyu roho yake iliwekwa kifungoni na wachawi na mwili ukawa...

Posted 5 years ago in Religion & Spirituality

Godfrey Sakwa 3 years ago

UTAKAFU NDIO TIKETI YA MTU KUMUONA MUNGU KATIKA MAISHA,DHAMBI AU CHAFU TATIZO.

Godfrey Sakwa 3 years ago

HATARI SANA KWAKUTOKUMUELEWA MUNGU ANATAKA NINI KATIKA MAISHA YA BINADAMU

Jamira Michael 5 years ago

Amina. Pole na kaz ya bwana mtumixhi wa mungu

Eluzabeth Mgassa 5 years ago

Bibi k apigwe kwa jina LA yesu,

Dennis Mkoba 5 years ago

Amina... Nitakupigia

Aplonia Kileo 5 years ago

Ameeeeen

Dennis Mkoba 5 years ago

Ameen.. Mtumishi wa MUNGU.... Lakini pia kujua ufufuo na uzima kahama liko eneo gani? Nimekua nikija kahama marakwamara...

Edina Herman 5 years ago

Amen mtumish!

Mwanasesele Wapili 5 years ago

Amen